TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Tunaenda mbali sana wajumbe.....
Uzi umegeuka wa Mashambulizi.....

Nampongeza Sana Elli,
Hakuonesha Hasira...
Hakuonesha temper....
Hakuonesha Panic....

Aliona haina haja ya kulumbana.....
Akaomba msamaha akakubali yaishe....
Yupo huko katulia zake....

Kuomba msamaha au kukubali yaishe haimaanishi.... Kweli umekosea au umeshisndwa....
Ni uungwana tu pale unapoona haina haja.......
Na niwachache wanaoweza hilo......

Kuna watu wanalumbana hapa lkn mpk hapo alipo ana hasira, panic na temper..... hata Keypad haishikiki......hapo

Sasa unagombana na ma ID Si ndio kujiongezea Ma stress ya nje nje.......
Mwishowe na wewe Unaletewa habari za TANZIA hapa....!

Mda mwingne tunasema R.I.P kwa mazoea, kinafki au tamaduni tu sbb ni marehemu....
Ila kuna marehemu wengne walikua wanazingua.....

Stress nying ni za kujitakia.......
Na Huwezi ukagombana na mtu, mkawekeana vinyongo/visasi ukawa na amani/uhuru 100%, km unahisi hivyo unajidanganya..........







Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe jamaa unaongea ukweli mno, please unaumiza watu.

Very sad
 

Oh Mungu amrehemu Robin Miho[emoji1431][emoji1431]
 
Hii sredi imegeuka kuwa uwanja wa ngumi na kutupiana lawama.

Everybody got tale to tell...!! Wakuu acheni hizo, sio poa.

-Kaveli-
 
Hahahahaa hutakiwi kugombana na watoto, tunatakiwa kuwasaidia tu. Mungu awasadie
 
Naona watu wana tafta public sympathy nyuma ya ID fake ..kwani si mtulie tu uko juu nan ana wajua wajinga nyinyi [emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm pretty damn sure you have spoken the truth. Pia najiuliza kama huyu Manengelo kwa mujibu wa maandishi yake hapa kasema alikuwa kawasiliana na watu kadhaa na wakawa wamemhakikishia kwamba wangeshiriki kwenye uchangiaji how comes kwamba wote kwa pamoja walipata dharura na kwa wakati mmoja na hivyo kupelekea kushindwa kuchangia? Mmoja mtoto wake sijui kavunjika mguu, mwingine akafiwa na kwenda Mwanza na wengine sijui ikawaje. Was it purely a coincidence or just an envisaged lie?

Muhimu ni kwamba tujitahidi kuepuka kutoa ahadi lukuki wakati ambapo hatuna uhakika wa kuzitimiza hizo ahadi na pia ikiwezekana tupunguze matangazo ya "moja kwa moja" ya misaada tuliyotoa kwa wahitaji wa hapa JF au ahadi za misaada tutakayotoa ili isionekane kwamba tunafanya hivyo ili kutafuta kaumaarufu fulani hapa JF.
 
Amefariki mkuu, huyu marehemu bwana hakuaminika na watu tangu kipindi cha changamoto zake daah! Kuna kundi flani nilikua nae kuna siku anaomba msaada jamaa mmoja akamwambia tutumie picha tuone kama upo hosptal kweli[emoji2211]
swali zuri kamishna wa upelelezi! MIMI NASEMA KABADILI ID

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pia sioni haja ya kuwa na mchangishaji/mhamasishaji. Mtu kaomba msaada, atoe njia ya kufikishiwa huo msaada moja kwa moja na sio kupitia mtu baki. Hatujuani hapa kwa njia yoyote. Lawama kama hizi zitaepukwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

INAONEKANA KUWA ALIKUWA DISAPPOINTED SANA WAKATI WA UHAI WAKE. NA INAONEKANA HAPAKUWA NA ALIYEMJALI HATA RAFIKI KARIBU! MUNGU AMSAMEHE KWA KUCHUKUA UHAI MWENYE
 
Mmh sijaelewa picha vizuri ila poleni wote mliokumbwa na kadhia hii... Tusameheane bure na kwenye funzo tujifunze.

Ila kubwa zaidi tusichoke kutenda mema maana tutavuna kwa wakati tusioujua.

Na mwisho kabisa jua tu nimekumiss wewe mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi rafiki ulikimbilia wapi?/hebu rudi haya maisha magumu tusaidiane wote, asikimbie MTU! Uko ulimwengu huu huu au Shemeji alichukua simu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…