TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Hamna msaada wa haraka tunahitaji watanzania Kama msaada wa akili....wengi sana wanakufa na stress

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo ya marehemu mwenyewe kabla hajafa, aliwahi sema anadaiwa ada Mil 1.6 ili apewe cheti chake cha ualimu.
Pia marehemu alikuwa ana ulemavu wa kutosikia vizuri.
Hivyo viwili vilimfanya aone kama anadharaulika kwenye jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wana ubaguzi balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wangu!!!!
Huyu member alikuwa kweli ana matatizo ya kusikia.
Na kuna rafiki humu alikuwa anamuunganishia kazi ya ualimu akamsafirisha toka mkoani mpaka alipokuwa rafiki akafanya interview.
Lakini yule rafiki akaniambia jamaa ni shida sana kuongea nae na kufundisha itakuwa ngumu lakini akampa nauli na kumuahidi shule ikifunguliwa basi itabidi aje wampe probation kama ya mwezu kuona kama ataweza lakini kama asipoweza atamsaidia kivingine hapa sikumbuki alisema hearing aids au sijui nini sikumbuki kwa kweli
Kiukweli sijui ni nini nikajikuta namshawishi yule rafiki ampe nafasi kwani hata mimi nilifundishwa na mwalimu kipofu Advance level na ni mwalinu pekee aliyekuwa anasikilizwa na wanafunzi akaeleweka, ni mwalimu bora kabisa.
Rafiki yule alikuwa busy busy nami busy sana basi hatukuongelea ishu ya huyu mpaka sasa.
Mda huu ninaona hapa amejiua.
Aiseeee nimesikitika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anamiliki infinix note 8 alafu anajiua maisha magumu? Mnautani nyie
Kama alipewa and he kept it as a souvenir? Kwani mtu akiwa na matatizo hapaswi kumiliki vitu vizuri? Kuuza vitu vyako sio suluhu ya ufumbuzi wa kudumu wa maisha. Give yourself time soma vema word-to-word nyuzi zake kisha utapata kitu.

Huyu kilichomkatisha tamaa ni aina ya tatizo lake la usikivu ambapo hata hearing aid zimeshindwa kuwa suluhu. Bahati mbaya watu walimfanyia dhihaka na istizahi.
 
Wewe ulikaa nayo kwa miezi miwili lakini unamshangaa aliyekwisha kaa na simu ya ndugu yake kwa mwezi mmoja tu!
Sijui nimeongea kisukuma. Kuna sehemu nimeonesha kushangaa?
Mi nimemwambia inavowezekana na nikampa mfano ilivokuwa kwangu afu wewe unanambia nashangaa. Kutoa ushuhuda ni kushangaa?
 
Huyo mwalimu aliwafundisha History??
 
Ninayo hiyo namba imefungiwa ,

Kuna kipind tulikuwa tunawasiliana sana

Alikuwa arsenal fan mwenzangu ,had nikamuadd WhatsApp

Tukawa tunabadilishana sana mawazo ,

So sad kusikia amefariki
 
Sijui nimeongea kisukuma. Kuna sehemu nimeonesha kushangaa?
Mi nimemwambia inavowezekana na nikampa mfano ilivokuwa kwangu afu wewe unanambia nashangaa. Kutoa ushuhuda ni kushangaa?
Uliandika hivi:
Mkuu eti inawezekana mdogo wa marehemu atumie simu ya aliyekufa kwa muda wote huo, bila hata kubadili sim card. Sasa ana lengo gani nayo. Hatujui. Mimi nilipewa simu ya babu yangu nikae nayo alipokufa baada ya miezi miwili nikaizima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…