TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

RIP. Dena Amsi.

Poleni Ndugu, Jamaa na Marafiki kwa msiba huu mzito kwenu na hata kwa JamiiForums. Michango yake kwa JamiiForums ulikuwa mkubwa. Hakika Ndugu wamempoteza mtu muhimu, JamiiForums imepoteza mtu mtu muhimu.

Mavumbini tumetoka, mavumbuni tutarejea.
 
Poleni, ndugu jamaa na marafiki. MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI.
 
R.i.p...mods pandisheni baadhi ya nyuzi zake ili kuweka kumbukumbu sawa.
 
Tupo nyuma yake,kila nafsi itaonja mauti,may her soul rest in peace.
 
Back
Top Bottom