TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

25345.jpg
Amen RA
 
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raajiuun.

KULLU NAFSIN DHAAIQATUL MAWTI,

WAINNAMAA TUWAFFAWNA UJUURAKUM YAWMAL QIYAAMA,

FAMAN ZUH ZIHA ANI NNARI WAUD KHILAL JANNATA FAQAD FAAZA,

WAMAL HAYAATU DUN YAA ILLA MATAAUL GHURUUR
 
Dah huyu nadhani ni Wa kwetu kule Haydom kama sikosei... Husninyo nadhani huwa anawasiliana nae... Mwenyezi Mungu amuweke pahali panapo stahili Amen. Majuzi alitoa neno kwenye Uzi wake Wa picha yangu ya leo
 
Nimepigwa na butwaa tangu nipoke hii taarifa.

Dena Amsi, King Mungu igaslaa ne iga amorosiatet. Aten king i-islawan ar muru hho tatlehhit bara-slafing-woge. Umu Mungu i-khirfuti.
(Dena Amsi, wewe Mungu amekupenda na amekuita kwake. Sisi tutakumbuka kwa mazuri uliyoyafanya wakati wa uhai wako, Jina la Mungu litukuzwe)

Kila nikiongea na Dena tunajaribu kuongea Ki nyumbani japokuwa hatukijui kivile.
Ni vema nikimuaga kwa lugha ambayo huwa tunajaribu kuitumia. Kwa kweli sitaki kabisa kuamini hili bado.
 
INNALILLAHI WAINALILLAHI RAJIUUN,MPENDWA DADA YANGU DENA AMSI,NAKUKUMBUKA SANA NA TENA UNISAMEHE DADA YANGU,NILIWAHI KUKUTANIA KWAMBA,AAH TUMEJUA KWAMBA UNA GARI,UKANIIJIA PM NA KUNIAMBIA "KAKA YANGU KWANI KUWA NA GARI NI KOSA? BASI UNISAMEHE KAKA YANGU"TUKAWA MARAFIKI DADA YANGU,DAAH NAKUKUMBUKA SANA NA ALLAH AKUPE JANNATUL L FIRDAUS,ULALE SALAMA PEPONI AMEEN.
 
RIP DA.

Wanaotaka picha yake, itakua ni kuanika utambulisho wake. Picha itapelekea jina na mengine ya binafsi kujulikana.
Kwa kua alitumia ID siku zote na hakuwahi kuweka picha, sio busara kuyaweka hapa.
Binafsi nilimfahamu (hata picha ninayo), ila tuheshimu privacy yake.

Sad to loose a friend.
 
Back
Top Bottom