mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,536
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutamiss michango yako. Kweli huu msiba umetugusa...hadi mkuu@Rejao leo umenekana..?!So sad, rest in peace Dena Amsi
raha ya milele umpe BWANA na mwanga wa milele umwangazie..aminaNi habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.
Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.
R.I.P Dena Amsi
Tumejadili naye mambo mengi sana. Tumeshare jokes nyingi sana. Siwezi kuacha kutoa salam zangu za mwisho kwakeTutamiss michango yako. Kweli huu msiba umetugusa...hadi mkuu@Rejao leo umenekana..?!