TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Mungu amlaze pema ndugu yetu.Bwana ametoa,Bwana ametwaa,jina la Bwana lihimidiwe Amina!
 
25345.jpg
Ukienda facebook na ku-search Dena Amsi utaiona hiyo picha, hivyo hapana shaka ni yeye.
BAK hii ni picha yake hasa?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pumzika kwa amani rafiki Dena amsi, nilibahatika kuonana na wewe tukaenjoy kwa muda mfupi tuliokutana. Nimehuzunika sana, Mungu aifariji familia yako
Samahani mkuu na pole sana,
13b2d27a0fbac2f9fcf823686eeb5251.jpg
kama hutojali,huyo ktk avatar ndiyo picha yake halisi marehemu?
 
Pumzika kwa amani rafiki Dena amsi, nilibahatika kuonana na wewe tukaenjoy kwa muda mfupi tuliokutana. Nimehuzunika sana, Mungu aifariji familia yako
Mkaenjoy... hongereni.
 
Was last seen 18 Dec 2016 jamani. So sad indeed.
 
Back
Top Bottom