Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Polensanawafiwaa sijaonaahatammoja anashaurii michangooo lohhNi habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.
Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.
R.I.P Dena Amsi