TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Mchinga sound, moja ya wimbo wao kuna mstari walisema '' Aliye kufa leo sio atakaye kufa tena, ni sisi tuliobaki ndio tutafuata nyayo zao''.

Kwaheri member Upumzike kwa amani. Nyuma yako mbele yetu.
 
Huwa najiuliza,hivi ni nani anatoa taarifa za msiba wa mwana JF,huwa anajuaje kuwa huyu ni member,maana mimi nikimaliza kuchat tu nasign out.
Au huwa anaacha bila kusign out na ndiyo njia pekee mtu anaweza kuona ID japo bila password.
 
RIP, the world will be missing you, you will be missed by family members, May God rest your soul in peace amen
 
Back
Top Bottom