TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Huwa najiuliza,hivi ni nani anatoa taarifa za msiba wa mwana JF,huwa anajuaje kuwa huyu ni member,maana mimi nikimaliza kuchat tu nasign out.
Au huwa anaacha bila kusign out na ndiyo njia pekee mtu anaweza kuona ID japo bila password.
Utakuta hata walau mtu mmoja anaijua ID yake
 
"KULLU NAFSIN DHAAIQATUL MAWTI,

WAINNAMAA TUWAFFAWNA UJUURAKUM YAWMAL QIYAAMA,

FAMAN ZUH ZIHA ANI NNARI WAUD KHILAL JANNATA FAQAD FAAZA,

WAMAL HAYAATU DUN YAA ILLA MATAAUL GHURUUR"

"KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. NA BILA YA SHAKA MTAPEWA UJIRA WENU KAAMILI SIKU YA QIYAMA. NA ATAKAYE EPUSHWA NA MOTO NA AKATIWA KATIKA PEPO, BASI HUYU AMEFUZU. NA MAISHA YA DUNIA SI KITU ILA NI STAREHE YA UDANGANYIFU/PUMBAO"
 
RIP DA.

Wanaotaka picha yake, itakua ni kuanika utambulisho wake. Picha itapelekea jina na mengine ya binafsi kujulikana.
Kwa kua alitumia ID siku zote na hakuwahi kuweka picha, sio busara kuyaweka hapa.
Binafsi nilimfahamu (hata picha ninayo), ila tuheshimu privacy yake.

Sad to loose a friend.

Totally agree!
 
Back
Top Bottom