Utakuta hata walau mtu mmoja anaijua ID yakeHuwa najiuliza,hivi ni nani anatoa taarifa za msiba wa mwana JF,huwa anajuaje kuwa huyu ni member,maana mimi nikimaliza kuchat tu nasign out.
Au huwa anaacha bila kusign out na ndiyo njia pekee mtu anaweza kuona ID japo bila password.
kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa ndiyo mkongwe wa picha zetu zilenimepitia thread zake nimejikuta nalia tu jamani thread zake zote sijaona.mbaya hata moja
alikuwa ametukuka hapa jf
daaah rip
"KULLU NAFSIN DHAAIQATUL MAWTI,
WAINNAMAA TUWAFFAWNA UJUURAKUM YAWMAL QIYAAMA,
FAMAN ZUH ZIHA ANI NNARI WAUD KHILAL JANNATA FAQAD FAAZA,
WAMAL HAYAATU DUN YAA ILLA MATAAUL GHURUUR"
RIP DA.
Wanaotaka picha yake, itakua ni kuanika utambulisho wake. Picha itapelekea jina na mengine ya binafsi kujulikana.
Kwa kua alitumia ID siku zote na hakuwahi kuweka picha, sio busara kuyaweka hapa.
Binafsi nilimfahamu (hata picha ninayo), ila tuheshimu privacy yake.
Sad to loose a friend.