TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Pole sana JF family na Familia ya wafiwa pia.
 
RIP ..... Mungu awape wepesi ndugu, majirani pamoja na
marafiki zake
 
Mleta report mpaka muda huu hujaleta habari kamili,msiba huko wapi na hata picha moja ya marehemu huenda kuna marafiki zake wa zamani alisoma nao au alijuana nao na taarifa hawana ili iwe rahisi kumfikia mahala halipo marehemu na taratibu za msiba zifanyike
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake limihidiwe

Pumzika kwa Amani Dena
 
Mungu akupe wepesi R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…