Hakuna ubaya kuanika utambulisho wake kwa sababu kwa sasa hatunae tena pia inasaidia kuweka historia yake sawa kwa wasiomfahamu!
Wewe tiririka wasufu wake hapa, ili tumfahamu vema!
ha ha ha ntakunong'oneza kule kwanzaIla mimi na wewe si tunafahamiana, tehe tehe tehe tehe
Sijakulazimisha kutelezea wasifu wa ndugu yetu Marehemu, ila kila mtu anaweza kumuelezea kwa jinsi anavyomfahamu sio kuleta hapa mawazo mfu eti tusiseme au kueleza wasifu wa ndugu Dena Amsi kwa sababu alitumia Fake ID hapa JF!!.Nitakua mpumbavu sana nikifanya hayo!!
Unajua kwa nini aliamua kutumia id yake (iliyoficha utambulisho wake)? Bila shaka alikua na sababu zake!
Kama hakujianika akiwa hai, kwa nini umuanike wakati asioweza kujitetea?
Unless iwe aliacha maagizo ya kuwekwa humu....sisi ni nani hata tumuamulie?