Kuna waliopata wake/waume kupitia JF,wapo wanaofanya kazi & biashara pamojaJe inamaana kuna member wanafahamiana live mpaka kumjua mtu personal au nikuaminiana tu?
R.I.P
Shkamooo JFMkuu watu wanakulana denda humu!
Rambirambi je?Ukimya wako utawashitua watu..... alafu it is not a big deal wont change a thing au unataka RIP?? Hazisaidii hizo ni mazoea tu ya watu.
Mungu ampokee vile atakavyo mwenyewe.Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.
Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.
R.I.P Dena Amsi
karibuha ha ha ntakunong'oneza kule kwanza