Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
anazingua huyuMkuu kwanini ukereke kwa kitu ambacho hakikupunguzii chochote kwenye maisha yako ya kila siku!? Haya "makurasa mengi" hapa yanakupunguzia nini wewe!?
Acha hizo Mkuu kama huna la maana la kuandika kufuatia kifo cha huyu mwenzetu pita kimya kimya.
Si bangi tu na kutafuta umaarufu wa kijinga. Tangu lini MTU akaitwa Tindikali???Mkuu kwanini ukereke kwa kitu ambacho hakikupunguzii chochote kwenye maisha yako ya kila siku!? Haya "makurasa mengi" hapa yanakupunguzia nini wewe!?
Acha hizo Mkuu kama huna la maana la kuandika kufuatia kifo cha huyu mwenzetu pita kimya kimya.
Nashukuru ingawa sijasema ni Kiranga ,nimeuliza kama ni watoto wa baba mmojaIngawa hujaniuliza mimi lakini nachoweza kusema kwa uhakika wa kiasi kikubwa, huyo si Kiranga.
Labda kama ungemwuliza yeye na Kuhani, Kuhani Mkuu, Bu'Yaka, na Kwameh ni ndugu? Ni watoto wa baba mmoja? Hapo walau kidogo swali lako lingeukaribia uhalisia.
Wengine tushamzoea na hayo mazoea yake ya kuanzisha tahanani hata pasipostahili.
Baada ya hayo niseme tu kuwa nimesikitika mno kumpoteza rafiki.
Apumzike kwa raha tele na amani bwerere huko aliko. Nitamkumbuka saaaaaaaaaana.
KAMA MNAWAFAHAMU KWANN HAMTOI UPDATE HATA MSIBANI TUNGEWEZA KUFIKASio huyo tu, mm pia nawafaham wanajf wawili waliofariki ndani ya mwaka huu.
Mkongwe heshima yako
Msiba wa Dena Amsi umetusitua wengi sana maana siku Moja kabla ya kifo chake nilipiga nae story sana nyumbani kwao. Alikuwa mzima kabisa na kiukweli alikuwa MTU wa watu kaniaaidia mambo mengi sana mpaka siku ya mwisho kuonana nae nilikuwa natafuta sanduku la posta la manispaa ya kinondoni alinisaidia akampigia rafiki yake nikalipata. Kwa wale ambao mngependa kuja kuwapa pole wafiwa msiba ulikuwa BUNJU A shule maeneo ya juleva.mungu ailaze pema roho ya Dada yetu Dena Amsi(Leah Flavian komba) jina lake halisi
Ya wiki hii angalia vizuriHii thread ni ya mwaka 2014
Mkuu una uhakika unacho kinena?Labda kama kingereza kimekupita kulia. Two days ago maana yake ni SIKU MBILI ZILIZOPITA. Maana ya siku mbili zilizopita maana yake ni juziHii thread ni ya mwaka 2014