Anhaa, okay, hakuna mtu akafariki hajaacha legacy.
Waswahili pia kumbe mnaacha legacy na nyinyi.
Basi nhabarishe tafadhali, legacy ya Dena Amsi nini jamvini hapa?
utakuwaje maarufu na unaongoza jamvi kwa kutukanwa?
mchangiaji mmoja humu amenukuu andiko langu chini yake akaandika "mavi..."
Kwa hiyo uwe na amani kuu, siwezi kuwa maarufu kwa "falsafa za kijinga." Ni kwamba nilishangaa tu vichwa vya watu ma-mia vinarudia kurasa 50 za yale yale ya pole, RIP, Mungu Katwaa, Inna Lillahi, hakuna anaekumbuka Dena Amsi ana legacy gani.
kwa nini unakereka na posti yangu ambayo haikupunguzii lolote maishani? Umesema mwenyewe nilichoandika hakina maana, basi ungekipita kimya kimya tu... Tujifunze ku ignore mawazo unayoona hayana maana kwako.