Loeli
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 997
- 763
Hapana Mkuu. Tayari walishalitaja jina lake hapa JF kabla ya mimi. Mimi nikafanya jitihada za kufuatilia zaidi ili nimfahamu. Cha msingi sioni sababu ya kuficha jina la member kama ameshafariki kwa kuwa hakuna wa kuweza kumfuatilia tena kwa mambo yake hata kama alikuwa anti-christ anabaki kuwa hivyo tu.Loeli vipi nadhani mwanzo watu walieleweka kuficha privacy ya mtu wewe umechunguza na kuamua kuanika... Humu kuna walioshiriki msiba na mazishi kuna ndugu na jamaa... Walielewa umewahi sana... Inaweza kuwa umeguswa kama sisi ila Mdogo Mdogo me natamani hata tuwape familia rambirambi