HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
AMENNdugu yetu na mwanajamvi mwenzetu tunasikitika sana kwa kutoweka kwa uwepo wako hapa JF milele lakini tunafarijika sana kwa kuwa tunaamini kwamba Mwenyezi Mungu ameipumzisha roho yako mahali pema peponi.