Wengi humu twajuana kwa utambulisho bandia tu, hivyo picha si muhimu sana labda kujua humu alikuwa akitumia jina gani? Mleta ujumbe bilashaka alikuwa mtu wa karibu na marehemu. Pumzika kwa amani DenaRIP Dena.
Wekeni basi picha yake ya kiukweliukweli.
ID zao tafadhaliSio huyo tu, mm pia nawafaham wanajf wawili waliofariki ndani ya mwaka huu.
Mmoja alikuwa anaitwa Suits mwingine jina limenitoka kidogo. Walipata ajali ya gari.ID zao tafadhali
Sorry ni oversight mkuuMkuu una uhakika unacho kinena?Labda kama kingereza kimekupita kulia. Two days ago maana yake ni SIKU MBILI ZILIZOPITA. Maana ya siku mbili zilizopita maana yake ni juzi
View attachment 451600
Salama mkuu Mwanyasi pole kwa msiba.Heshima yako....
AaaaaaamenJina lake lihimdiwe
Huyo ni mtu mwingineRIP Dena Amsi. Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele. Amina. Nime visit Facebook wall yake but sijaona post yoyote except picha ambayo inatumika kama Avatar yake. Nilichogundua ni kuwa address yake ni Gisenyi Nchini Rwanda na kuna watu wawili ambao nahisi alikuwa na undugu nao (1) Philemon Amsi (2) Amsi Slaa. Maybe huyo wa kwanza anaweza kuwa ndugu yake. Kwa upande wa huyo philemon Amsi, mara ya mwisho ku post kwenye wall yake ni mwaka 2013, so kuna maswali mengi kuliko majibu. Tukesheni tukiomba, kwani hatujui muda wala saa, Pumzika kwa Amani-DA
Aaaaaaamen
ndio mkuuHuyo ni mtu mwingine
Chama chenu kipi ?RIP DENA AMSI.
was kada kindakindaki wa chama chetu.
Bwana ametwaa.
Tindikali
Hakuna Mtu akafariki na hajaacha legacy.
Unatafuta umaarufu kwa falsafa za kijinga sio?
Acha hizo Mkuu kama huna la maana la kuandika kufuatia kifo cha huyu mwenzetu pita kimya kimya.
Hiv kwa nn wewe kila sehemu unachafua hewa??? Au ndo u muchknow saaana....acha ulopokaji mkuu hizo itkadi za jinsia nyingne ile...Anhaa, okay, hakuna mtu akafariki hajaacha legacy.
Waswahili pia kumbe mnaacha legacy na nyinyi.
Basi nhabarishe tafadhali, legacy ya Dena Amsi nini jamvini hapa?
utakuwaje maarufu na unaongoza jamvi kwa kutukanwa?
mchangiaji mmoja humu amenukuu andiko langu chini yake akaandika "mavi..."
Kwa hiyo uwe na amani kuu, siwezi kuwa maarufu kwa "falsafa za kijinga." Ni kwamba nilishangaa tu vichwa vya watu ma-mia vinarudia kurasa 50 za yale yale ya pole, RIP, Mungu Katwaa, Inna Lillahi, hakuna anaekumbuka Dena Amsi ana legacy gani.
kwa nini unakereka na posti yangu ambayo haikupunguzii lolote maishani? Umesema mwenyewe nilichoandika hakina maana, basi ungekipita kimya kimya tu... Tujifunze ku ignore mawazo unayoona hayana maana kwako.