TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Ndugu yetu na mwanajamvi mwenzetu tunasikitika sana kwa kutoweka kwa uwepo wako hapa JF milele lakini tunafarijika sana kwa kuwa tunaamini kwamba Mwenyezi Mungu ameipumzisha roho yako mahali pema peponi.
AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…