Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 620
- 1,418
R.I.P jf member.
MUNG awape moyo mkuu familia ya marehem katika wakati huu mgumu.
Kuweka picha yake hairuhisiwi? Au mambo ya anonymous ID yanaendelea hata kwa tukio hili?
Samahani lakini sina nia mbaya!
Muwe mnasoma heading na tarehe ni muhimu Sana kabla aujaccoment chochote..... Sasa jamaa kafukua kaburi na nyie mnatiririkaaaaaa tuuuuu....Inalillahi wainailahi rajiun
Mwaka umepita sasa MkuuR.I.P jf member.
MUNG awape moyo mkuu familia ya marehem katika wakati huu mgumu.
Nyie jamaa, HUU UZI NI WA TOKA MARCH, wewe unadai picha leo..?? Someni tarehe bana...!!
Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
Mkuu,sio tatizo hata ingekuwa miaka kumi apumzike kwa amanituu.Mwaka umepita sasa Mkuu
Andaa wosia mkuuRIP.
Najiuliza siku nikifa nani atawapa taatifa maana hakuna mtu hata mmoja anayenijua.
Mkuu,sio tatizo hata ingekuwa miaka kumi apumzike kwa amanituu.
Ama nakosea.
Ss mtu anaomba picha leo, khaa...!!! Ukiitwa mchawi utabisha kweli..??Uzi wa tarehe 26/12/2016.
Amina kiongozi, nakwako pia.Uko sahihi kabisa Mkuu. Heri ya Mwaka mpya
R.I.P.Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.
Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.
R.I.P Dena Amsi
==================
R.I.P.
Swali langu ni jf wanajuaje member kafariki na si verified user??