TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia



R.I.P jf member.
MUNG awape moyo mkuu familia ya marehem katika wakati huu mgumu.

Kuweka picha yake hairuhisiwi? Au mambo ya anonymous ID yanaendelea hata kwa tukio hili?

Samahani lakini sina nia mbaya!

Inalillahi wainailahi rajiun
Muwe mnasoma heading na tarehe ni muhimu Sana kabla aujaccoment chochote..... Sasa jamaa kafukua kaburi na nyie mnatiririkaaaaaa tuuuuu....
 
Huyu Dena Amsi mwingine au yule wa mwaka jana....!!?

Mbona mnaleta mkanganyiko..!!?

Wapendwa msifukue makaburi ya taarifa za misiba mnaleta taharuki kwenye jukwaa....
 
Maisha ya dunia ni upumbavu mtupu yaan kifo ni jambo linalofanya dunia na vilivyomo kuwa ni ujinga mtupu.tangulia mkuu tupo nyuma tunakuja.
 
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi

==================
R.I.P.

Swali langu ni jf wanajuaje member kafariki na si verified user??
 
R.I.P.

Swali langu ni jf wanajuaje member kafariki na si verified user??

Kuna members huwa tunafahamiana hata kwa hizi fake ID. Binafsi nawafahamu watu kiasi wa humu na huwa tunakuwa wote. so ikitokea tatizo tunakuwa tunajua kabisa...
 
Back
Top Bottom