TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Polensanawafiwaa sijaonaahatammoja anashaurii michangooo lohh
 
Poleni sana wafiwa, mie hii habari imenistua sana hasa ukitilia maanani mara ya mwisho Dena Amsi aliingia humu December 18, 2016. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Do u mean 8 days ain't enough for someone to die???
 
Hapana sikumaanisha hivyo, Mtu anaweza hata kuanguka tu na akawa ndiyo kishafariki, kuna ajali na pia kuna ugonjwa. Hatujui huyu mwenzetu kama kweli kafariki nini ni chanzo cha kifo chake. Hivyo ilikuwa ni namna tu ya kuulizia chanzo cha kifo chake.
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…