TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Tunaweza kupata Picha yake na Maelezo au Historia yake pamoja na ugonjwa wake japo kwa ufupi ili tumjue??
RIP D.A.

Yeye mwenyewe hakupenda hayo yote yajulikane ndani ya JF, na mara nyingi ndani ya JF huwa ianabaki hivyo, labda kama ukienda kwenye msiba na wakatangaza wasifu wake na pia kutajwa jina lake

RIP DA
 
Yeye mwenyewe hakupenda hayo yote yajulikane ndani ya JF, na mara nyingi ndani ya JF huwa ianabaki hivyo, labda kama ukienda kwenye msiba na wakatangaza wasifu wake na pia kutajwa jina lake

RIP DA
Sawa,
Msiba uko wapi basi??
 
RIP DA.

Wanaotaka picha yake, itakua ni kuanika utambulisho wake. Picha itapelekea jina na mengine ya binafsi kujulikana.
Kwa kua alitumia ID siku zote na hakuwahi kuweka picha, sio busara kuyaweka hapa.
Binafsi nilimfahamu (hata picha ninayo), ila tuheshimu privacy yake.

Sad to loose a friend.
Hakuna ubaya kuanika utambulisho wake kwa sababu kwa sasa hatunae tena pia inasaidia kuweka historia yake sawa kwa wasiomfahamu!
Wewe tiririka wasufu wake hapa, ili tumfahamu vema!
 
"Kila nafsi itaonja mauti". Poleni sana wote mlioguswa na msiba huu!
 
Kila nafsi itaonja umauti.
Umetangulia na sie tunafuata.

Mwenye Mungu ni mkarimu mwenye kusamehe.Tunakuombea kwake akupokee na akuweke sehem yenye amani.
Amin
 
Back
Top Bottom