TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Roho za marehem wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa aman
Amina
 
Dena nitakukumbuka sana. Nilipofiwa na mke wangu ulinipa maneno ya faraja sana... Ulinishauri na ushauri wako ulinirudisha kwenye msitari. Na bado ulikuwa ukiniuliza naendeleaje... Sikuwahi kukuona ana kwa ana ila kimawazo tulionana sana.
Mwezi september mwaka huu ndo ulichati nami kwa mara ya mwisho, ulionekana mwenye siha njema... kumbe ulikuwa unaenda...
RIP Dena Amsi Mungu akuweke mahali pema peponi...
 
Duu pole sana kwa kufiwa na mke. Ukweli wengi tulimpenda sana marehemu Dena Amsi
 
Back
Top Bottom