Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apumzike kwa amani Dena/Dasir AmsiPumzika kwa amani rafiki Dena amsi, nilibahatika kuonana na wewe tukaenjoy kwa muda mfupi tuliokutana. Nimehuzunika sana, Mungu aifariji familia yako
Duu pole sana kwa kufiwa na mke. Ukweli wengi tulimpenda sana marehemu Dena AmsiDena nitakukumbuka sana. Nilipofiwa na mke wangu ulinipa maneno ya faraja sana... Ulinishauri na ushauri wako ulinirudisha kwenye msitari. Na bado ulikuwa ukiniuliza naendeleaje... Sikuwahi kukuona ana kwa ana ila kimawazo tulionana sana.
Mwezi september mwaka huu ndo ulichati nami kwa mara ya mwisho, ulionekana mwenye siha njema... kumbe ulikuwa unaenda...
RIP Dena Amsi Mungu akuweke mahali pema peponi...
Uwiiiiiiii Mungu wangu [emoji85]Upo mpendwa, ukanikimbia