TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Leo nimejikuta namkumbuka sana @DenaAmsi 💔💔
Roho yake iendelee kupumzika kwa amani amina
Yaan it pains mnoo pale unapojuana na mtu humu jamvini mnakuwa ndg afu ghafla anafariki. Kila siku unajikuta unamkumbuka hasa ukiona nyuzo.ambazo unajua akizikamata utafurahia.mchango wake
 
Huwa namkumbuka sana huyu Dada. Nilipofiwa na mchumba wangu in 2011 alifariji sana. Alinitia moyo mno... Anyway, najua atakuwa amekutana naye na wanapiga stori... Sorry for her family, endelea kumpumzika kwa Amani Dena Amsi
 
Pole sana mkuu Takison roho zao zipumzike kwa amani amina
 
Yaan it pains mnoo pale unapojuana na mtu humu jamvini mnakuwa ndg afu ghafla anafariki. Kila siku unajikuta unamkumbuka hasa ukiona nyuzo.ambazo unajua akizikamata utafurahia.mchango wake
yaani usiseme best jf ni kama ndugu jamani mm ikifika december simsahau Dotto mnzava yaani alikuwa rafiki na ndugu Mungu amtangulie uko aliko
 
Alipata ajali ya pikipiki eneo la Victoria Dar.

Aliyejiua ni Yona Maro mwandishi huko Mbeya baada ya mke wake kutofautiana naye masuala ya uhalali wa kiuno
Huyu ndo alijiua[emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji22]wanawake wabaya sana
 
Hapanaaa huyu alikuwa mwandisi mbeya na alijiuaaa..[emoji24][emoji24][emoji24]kisa mkewe anachepuka
Soma hapo mkuu. Tusibishane sana...

Mwenyezi Mungu,

tukumbushi tuliosalia hai kuzihesabu siku zetu.
 
Alipata ajali ya pikipiki eneo la Victoria Dar.

Aliyejiua ni Yona Maro mwandishi huko Mbeya baada ya mke wake kutofautiana naye masuala ya uhalali wa kiuno
Kweli mkuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]nimekusomaa
 
Back
Top Bottom