Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Nimekuelewa lakn hajachepuka maana kuchepuka had achakatwe mbususuMke wake hana tabia hiyo hata mtaa unashangaa ila mm namlaumu shosti yake ambaye alikuwa anampeleka home kwake, kumbe mume wake ni fisi. Alikuwa anamtongoza kwa sms na sms hizo zilifumwa na shosti yake na akaenda na matarumbeta nyumbani kwa mhanga.
Ndio maana nimesema ni kweli mke kachepuka kwa kuwa alikuwa na namba ya mtu mwingine ila hajawahi kutana nae kimwili. Kwanza angemsikiliza kwanza mke wake na kuliko alichofanya badass kwa mke wake,
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app