Mwana JamiiForums mwenzangu, msamehe mke wako japo ni kweli alichepuka kwa mume wa shosti yake

Nimekuelewa lakn hajachepuka maana kuchepuka had achakatwe mbususu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana unawafahamu vyema wahusika, au nawe ni mhusika?
 
Inaonekana unawafahamu vyema wahusika, au nawe ni mhusika?
Sio member wala mhusika ila nawajua tokea mke anayedai kuibiwa mume anafunga ndoa na shosti yake huyo alikuwa msimamizi wake. Na hata baada ya ndoa walipanda ndege kwenda Mwanza kuona wakwe. Ni marafiki walioshibana ila wivu tu wa mashosti hata bila kuulizana wanatumbuana kwenye ndoa zao. Shetani yupo katikati yao ndio maana wote wamepigwa upovu. Mume amsamehe mke tu
 
Kwani wewe mwenyewe bado unampenda? Au ndio unasikilizia humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…