Mwana JamiiForums mwenzangu, msamehe mke wako japo ni kweli alichepuka kwa mume wa shosti yake

Unajiombea msamaha kijanja
 
Kujiajiri kugumu ndugu zangu.

Siku hizi natembeza viatu vya kike sasa nipo hapa Manyanya nimekutana na ex wangu hivi ninavyoandika tupo kwenye bodaboda tunarudi nyumbani.

Mniombee
Hahaa.. Mzee mbona dalili zinaonesha pea za viatu zitapungua mkononi na hela ya kuuzia hutakuwa nayo. [emoji23]
 
Uswahilini Huu Uzi Tungeuita Mbombo Nkafu.

Kwa Hii Situation Pia Ni Mbombo Nkafu Mara Tufu.

NB: Sijui Hata Maana Ya Hilo Neno Mbombo Nkafu.

Ila Kiukweli Nikivaa Viatu Vya Huyo Jamaa Mambo Nayaona Ni Mbombo Nkafu.
 
Kama haujui maana ya mbombo nkafu unawezaje kusema nawe unaona hivyo? Itakuwa unajua ila hautaki kutunufaisha
 
Hahaa.. Mzee mbona dalili zinaonesha pea za viatu zitapungua mkononi na hela ya kuuzia hutakuwa nayo. [emoji23]
Ameenda kupima oil kama deep stick inapita vile vile au imekuwa ndogo.
 
Yani kumbe hata kukulana hawajakulana!
Au mimi ndio sijaelewa
Hajawahi kuliwa ila hasira amepandishwa na kelele za rafiki yake na maneno mengi ya uwongo. Maana binti anaongea alafu linapigwa sebene hadi watu walijaa wengi sana.
 
Hajawahi kuliwa ila hasira amepandishwa na kelele za rafiki yake na maneno mengi ya uwongo. Maana binti anaongea alafu linapigwa sebene hadi watu walijaa wengi sana.
Basi kama ni kweli mwanaume hajatenda haki
 
Mm nina cd yote ya kisa hiki na hata ikitokea mahamani naenda kumtetea mwanamke huyu against my fellow jamiiforumian
Mhh..Uko vyema.

Hivi huyo mwanajf anajua unamjua au wewe unamjua bila yeye kujijua?maswali ni mengi loh
 
Sio gome ni kibanzi.

Halafu katika hali ya kawaida hata vitabu vya MUNGU vimeagiza wazi wazi kuwa mwanamke anasamehewa na kuelekezwa tabia zote mbaya ila sio kulala tupu na mwanaume mwingine na kufanya nae ngono zembe.

Ukisamehe jiandae kukutwa na makubwa zaidi. Wanawake huwa wanakupimia kulingana na namna una mtreat ndipo na yeye anatarespond vile vile.

Ukicheka nae atakuongezea vituko, ukiwa serious na yeye atakuwa na misimamo kwa wanaume wataoleta mazoea nae katika ndoa yako.

Sasa ameshavuliwa chupi wewe unamchekea jua ni swala la muda tu atarudia aidha na mtu yule yule au mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…