Mwana JamiiForums mwenzangu, msamehe mke wako japo ni kweli alichepuka kwa mume wa shosti yake

Mtoa mada sijakuelewa,
Hivi unamuombea msamaha Kama Nani?

Au ndo wewe ulkua unatembea na MKE wake[emoji848]
 
Uswahilini Huu Uzi Tungeuita Mbombo Nkafu.

Kwa Hii Situation Pia Ni Mbombo Nkafu Mara Tufu.

NB: Sijui Hata Maana Ya Hilo Neno Mbombo Nkafu.


Ila Kiukweli Nikivaa Viatu Vya Huyo Jamaa Mambo Nayaona Ni Mbombo Nkafu.
Wee jamaa comments zako huwa zinanifurahisha Sana[emoji2]
 
Nimeongeza hapo ikithibitika! MWANAMKE kutongozwa ngumu sana kuzuia ndio uanamke wenyewe.
sasa angefanyaje mtoto wa watu? Sms zipo positive sana ndio maana hata mke aliamua kukusanya watu kwenda kumjazia inzi.
 
Ww ndio mke wa jamaa.Unaomba msamaha kimtindo
 
ndo tatizo la kuwa na ma shost viherehere, wambea, shankupe, visalata mtaa

siku mkikosana anakujazia mtaa

Asa hayo matarumbeta yalikuwa na umuhim gani hapo??
 
Hayo majitu ni ya kutimua tu yaani unalinunulia kitu hadi kyupi halafu linaenda kuliwa na kukuletea aibu kwenye jamii fukuzia huko likauze bar ili liliwe tani yake.
 
Tatizo mnaoa malaya na mishangazi ya humu lazima utachapiwa tu hata na muuza chips
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…