TANZIA Mwana JamiiForums mwenzetu Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi

Acheni na mambo ya RIP weka number yake lipa kwa pesa tumchangie huo msiba wa baba ni mkubwa sisi wa RC tunasema hivi msada mdogo wa pesa ni muhimu kuliko huruma tupu ilio jaa......
 




Mungu ampe Kanungila Karim na familia imani, amani na subra kipindi hiki kigumu
Alale salama mzee wetu
 
Poleni wote.
Raha ya Milele Uwape ee Bwana, na mwanga wa milele uwangazie wapumzike kwa Amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…