TANZIA Mwana JamiiForums mwenzetu Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi

Mwenyezi Mungu amweke anapostahili Amen
 
Pole ndugu Kanungila Karim....Mwenyezi Mungu akupe wepesi...Amina.
 
R.I.P kwa mzee wetu, na pole Kanungila Karim
 
Wote tu safari moja, tuliobaki tuendelee kufanya ibada pale panapowezekana. Maisha ni mafupi, RIP mzee.
 
Pole kwake na Familia yake,

Mungu aendelee kuwa Faraja Katika Maisha yake.

APUMZIKE kwa Amani.
 
Nilisoma na Shamte Kanungila, nahisi ni ndugu moja hao nae ni wa Mang'ula!
Rest easy mzee Kanungila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…