Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe upo mbali sana ?Wanakuja
Sanaa,kwanza huko hata sipafahamuWewe upo mbali sana ?
Ni kweli hili mkuu, umakini na taadhari ni jambo la msingi, ila mie sio mtu wa systema na sijawahi kuwa mtu wa system. Kuanzia mchana nipo hapo nimerudi toka shamba hukoNilisikia kipindi hiki wazee was system wamejaa Sana mitandao ya jamii na mbinu mbalimbali kukusanya data kuelekea uchaguzi
tuma kabisa.. mzee baba... vp nije na demu wangu au nitawakuta hapo hapoChukua mkuu, ukifika hapa tunaweka mambo sawa.
Sawa nimeuliza kuwarahisishia watu tangazo.Mimi nipo kanda ya ziwa huku.Jinsia yoyote tu mkuu,weekend hii tunafurahi pamoja badae kila mmoja anaenda kwake