Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Poa mkuu
Okay.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu
Bibi, kama ID yako ikipotea jukwaani si watu watahisi Bibi umetwaliwa na watu wa system?Niko meza namba 23, njoo.
Hapana mkuu heshima ni kitu cha bure huna haja ya kutukana. Na sipo hapa kwa ajiri ya malaya, sio kila mtu ana hilo life styleBoya wewe kunywa mwenyewe tafuta na Malaya hapo ukamlombe ,hakuna mtu boya kutoka Jf akakufuata kwa hizi cent zako za MATAGA
Sawa ngoja niwaambie shost zangu tunakuja hapo.Nimeshasema nipo vizuri nikimbie nini, mkuu. Kila unapo agiza nalipa kabisa ili usiwe na mashaka
Ooh ahsante Sana..Sasa Kama natokea kimanzichana natakiwa kuchukua gari za wapi kufika hapo?Mlimani city ni eneo la chuo kikuu cha dar es salaam. Ni eneo maarufu sana Dar es Salaam huwezi potea
watu wa system hatuchukui uyo hana impacts [emoji16]Bibi, kama ID yako ikipotea jukwaani si watu watahisi Bibi umetwaliwa na watu wa system?
Wewe n mmoja waoNilisikia kipindi hiki wazee was system wamejaa Sana mitandao ya jamii na mbinu mbalimbali kukusanya data kuelekea uchaguzi
Mnamchukua Bibi wa watu kisha mnampa kichapo awataje watu wengine wa JF.watu wa system hatuchukui uyo hana impacts [emoji16]
Ooh sawaMkuu sijui ndugu yangu.ila nachojua ni eneo maarufu kwa hapa Dar
Bibi, kama ID yako ikipotea jukwaani si watu watahisi Bibi umetwaliwa na watu wa system?