Mwana JF aliyepo hapa Samaki Samaki ya Mlimani City tupeane company mie nipo fresh mfukoni

Mwana JF aliyepo hapa Samaki Samaki ya Mlimani City tupeane company mie nipo fresh mfukoni

Hapa mezani niko na watu wa system wanne wananinywesha amarula (wananiagizia kata mti panda mti) wao wanakunywa Whithki

Mazungumzo yetu yanashusu kilimo cha matikiti maji na kilimo cha mbogamboga kwenye green house.
Leo pamejaa sana na sasa hivi umetoka wa Diamond wanapiga ya Alikiba ule wimbo wa seduce 😁😁😁😁
 
Hapa mezani niko na watu wa system wanne wananinywesha amarula (wananiagizia kata mti panda mti) wao wanakunywa Whithki

Mazungumzo yetu yanashusu kilimo cha matikiti maji na kilimo cha mbogamboga kwenye green house.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Poa mkuu. Nilikuja tu sikiliza mzika na kujichangamsha kidogo. Mda huu naondoka nikapumzike
nikisoma muandiko nakufahamu, kuna sehemu tunakuwa pamoja nje na hapa jf, nimeunganisha code, umetoka shamba, grano coffee na tone ya uandishi, ningeona jana mapema ningekupitia hapo
 
nikisoma muandiko nakufahamu, kuna sehemu tunakuwa pamoja nje na hapa jf, nimeunganisha code, umetoka shamba, grano coffee na tone ya uandishi, ningeona jana mapema ningekupitia hapo
Watu wa Jf waoga sana.. kila mtu waha hisi ni wa system tu... kumbe wengine wapo kwa ajiri ya burudani zao tu. Jana palinoga .. ila niliondoka majira ya saa sita na nusu hivi. Watu shamba tayari tupo njiani kurudi mashambani mwetu .. next time nita ku dm
 
Mwana Jf aliepo hapa samaki samaki ya mlimani city tupeana company mie nipo fresh mfukoni .
Am not far from there ila duh nilisoma uzi mmoja humu jamaa ashamtambulisha huyo member kuwa akipotea ndugu zake wajue ni yeye...ila siyo wewe
 
Back
Top Bottom