Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Ni ushamba tu,,ni kiasi cha kumpa ID fake,,mwambie wewe ndo maralia sugu.Watu wa Jf waoga sana kukutana na member wapya 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ushamba tu,,ni kiasi cha kumpa ID fake,,mwambie wewe ndo maralia sugu.Watu wa Jf waoga sana kukutana na member wapya 😁😁
D
Hapa usalama mkuu, 5N uswahili mwingi sana.. kuna madogo hapo mionekano yao kama vibaka vile, ingawa sitaki hukumu
Si umtag huyo wa mbeleNi kweli hili mkuu, umakini na taadhari ni jambo la msingi, ila mie sio mtu wa systema na sijawahi kuwa mtu wa system. Kuanzia mchana nipo hapo nimerudi toka shamba huko
View attachment 1483683
Nasubiri pichaKaribu mkuu.
Picha yako wewe nikuone kabisa ili nikifika tu nakugusa beganiPicha ya hapa au picha yangu nipige picha eneo gank ili uamini mkuu
Jamaa ashindwe mwenyewe tu!🤫Picha yako wewe nikuone kabisa ili nikifika tu nakugusa begani
Kaweke huko private sasaKama ya eneo lolote hapa sawa, ila mie picha yangi siwezi iweka hapa public mkuu