EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kuna VIP, mkuu wala usihofuBaada ya wiki tatu, nitarudi tena nijoin na miamba hapo 5N inaonekana patamu, nisichopendea pale kila mtu ana uwezo wa ku manage.. kuna madogo wengine wanakaaga kule chooni wanavuta bangi na wadada, hata kama mtu una vitu vya thamani inakuwa shida