EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kuna VIP, mkuu wala usihofuBaada ya wiki tatu, nitarudi tena nijoin na miamba hapo 5N inaonekana patamu, nisichopendea pale kila mtu ana uwezo wa ku manage.. kuna madogo wengine wanakaaga kule chooni wanavuta bangi na wadada, hata kama mtu una vitu vya thamani inakuwa shida
Hahahah wameogopa wasije wakatolewa kafaraπππHakuna alie tokea, nilitulia pale hadi mida flani nikasepa kwenda kupumzika mkuu
UhakikaKa Blue Bird. Eeh! Na nilichukua hapo room ili pawe karibu na sehemu ya bata