Mwana JF ambae huzijui hizi threads mbingu ni yako

Mwana JF ambae huzijui hizi threads mbingu ni yako

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.

(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

(2)Uzi wa wazee wa kula tunda kimasihara
Ulishawahi kula tunda kimasihara?

(3)Uzi wa kupeana like bila khiyana, bila shaka ni uzi pendwa wa mzee Extrovert
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
nyuzi zote hizo ni top tier hapa jf😅
 
Hizo thread ziko JF au Facebook?
 
Huo na 1 hatari tupu watu wanajisahau sana na sio mzuri kabisa .
 
Hizo thread mbili za mwanzo “PICHA ZA WAREMBO WAKALI WORLD WIDE na ”KULA TUNDA KIMASIHARA”. Nina uhakika wanawake wa humu hawataki hata kuziona. Waulize
Kwa nini mkuu
 
Back
Top Bottom