kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Ngoja niingie nijioneeWakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.
(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies
(2)Uzi wa wazee wa kula tunda kimasihara
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
(3)Uzi wa kupeana like bila khiyana, bila shaka ni uzi pendwa wa mzee Extrovert
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"