nyuzi zote hizo ni top tier hapa jf😅Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.
(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies
(2)Uzi wa wazee wa kula tunda kimasihara
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
(3)Uzi wa kupeana like bila khiyana, bila shaka ni uzi pendwa wa mzee Extrovert
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Hizo thread ziko JF au Facebook?Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.
(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies
(2)Uzi wa wazee wa kula tunda kimasihara
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
(3)Uzi wa kupeana like bila khiyana, bila shaka ni uzi pendwa wa mzee Extrovert
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Mbingu ni yako mume wangu😂Hizo thread ziko JF au Facebook?
😂😂😂😂mzee anakuzuga tuu huyu, ukute ile thread ya warembo ndio maskani yake
Kwa nini mkuuHizo thread mbili za mwanzo “PICHA ZA WAREMBO WAKALI WORLD WIDE na ”KULA TUNDA KIMASIHARA”. Nina uhakika wanawake wa humu hawataki hata kuziona. Waulize
Lazima twende wote. Sikuachi nyuma mama watotoMbingu ni yako mume wangu😂
Mbingu ni yako mume wangu[emoji23]