kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Ngoja niingie nijioneeWakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.
(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies
(2)Uzi wa wazee wa kula tunda kimasihara
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
(3)Uzi wa kupeana like bila khiyana, bila shaka ni uzi pendwa wa mzee Extrovert
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Tufanye petitionWarudishe tu lile jukwaa.....π
Wanandoa wasipoaminiana hii ni shida nyingine.Na wewe umeamini hazijui hizo thread?
Dah mbingu nimeikosa[emoji16][emoji16]Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.
(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies
(2)Uzi wa wazee wa kula tunda kimasihara
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
(3)Uzi wa kupeana like bila khiyana, bila shaka ni uzi pendwa wa mzee Extrovert
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Hyo no 3 mbona hailewekiWakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.
(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies
(2)Uzi wa wazee wa kula tunda kimasihara
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
(3)Uzi wa kupeana like bila khiyana, bila shaka ni uzi pendwa wa mzee Extrovert
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Ila ushawahi pita kuchungulia ?Kumbe mbinguni karibu hivyo. Tutakaoonana tujuane mapema maana hizo nyuzi sijawahi comment kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi kuzifungua hizo threadsWakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.
(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies
(2)Uzi wa wazee wa kula tunda kimasihara
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
(3)Uzi wa kupeana like bila khiyana, bila shaka ni uzi pendwa wa mzee Extrovert
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Ila ushawahi pita kuchungulia ?