Mwana JF mzuri nimekaa nae siti moja

Mwanamke asiye ndugu yako awe rafiki yako ili???

Wewe ni shosti?
 
Mi Nimeshakutana nao sana! Wengine mpaka majina yao nawajua,ukiwaona huko nje na humu ndani....we acha Tu hii J.F Mungu anaiyona.
 
Zege ulilonalo mdomoni unaeza jenga ghorofa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa kweli mkuu,Ila ni muungwana nadhani atanitafuta tu
Kwa hali hii ngumu ya mjomba Magu atakutafuta tu kwakweli binafsi nawakimbia sana sasahv maana ni full kusumbuliwa mpaka nahisi nina nyota ya Ukimwi.
 
Atakuwa visitor siyo member huyo!

Ninachojua mimi wanawake wote wa JF wana magari yao kama siyo baby walker kabisa!
 
Nyie ndio wapiga chabo kwenye simu za wezenu wakiwa wanachart kwenye matatu!
 
Mwanamke asiye ndugu yako awe rafiki yako ili???

Wewe ni shosti?
🙁🙁 Hii ndio tatizo lako mkuu. Having a network sio lazima iwe ni network ya ngono. Unaweza fanya kuwa yenye sifa nyingine ushauri , fulsa za kibiashara nk
 
Nyie ndio wapiga chabo kwenye simu za wezenu wakiwa wanachart kwenye matatu!
Epuka kuwa negative unaambiwa nilikuwa nacheki kwa dirishani sasa jicho halina pazia wakati narejesha nikaona icon. Thus y sina details zakekama ningekuwa mpiga chabo ningalikuwa na full details
 
Kwa hali hii ngumu ya mjomba Magu atakutafuta tu kwakweli binafsi nawakimbia sana sasahv maana ni full kusumbuliwa mpaka nahisi nina nyota ya Ukimwi.
Pole sana mkuu. Wasaidie tu
 
Ndio maana simu yangu ina cover kubwa kwa juu hakuna anayechungulia [emoji23][emoji23]
 
HApana mkuu ni desturi yangu kuto mgasi mtu anapofanya mambo yake. Kujua ni mwana jf ni vile jicho halina mpaka wakati natazama
Dirishani nikaona icon ya jf kwenye screen yake
Mbona sisi unatugasi?
Anyway, huyo ni shemeji yako, tulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…