Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Yangu inamaanisha RAISI KUJIAPISHA NA KISHA AKARUDI NYUMBANI BADALA YA KWENDA IKULU.
 
napenda muziki hasa wa hip-hop,,mc naemkubali ni notorious big,, rest in peace
Hongera sana.....Notorious Big au jina halisi Christopher George Wallace alikuwa mtundu sana maana nakumbuka kabla ya kifo chake huko Los Angeles mwaka 1997 baada ya ugomvi mkubwa wa East coast ilikuwa inaongozwa na akina Tupac Shakur na West coast ...Big alianza kuuza madawa ya kulevya akiwa na umri wa miaka 12 bila mama yake kujua maana baba yake alifariki wakati Big ana miaka 2.RIP Big.
 
Mimi nimempenda huyo ndege alivojituma na kujenga nyumba yake mwenyewe wakati Mimi sina hata kibanda
 
Mimi nimempenda huyo ndege alivojituma na kujenga nyumba yake mwenyewe wakati Mimi sina hata kibanda
Hata jinsi ilivyojengwa ni ubunifu wa aina yake ....ameweza kuisuka suka wakati hata sindano hana .
 
Ya kwangu kama mnavyo iona, ndoto zangu ni kuja kuwa tajiri mkubwa duniani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…