Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana.....Notorious Big au jina halisi Christopher George Wallace alikuwa mtundu sana maana nakumbuka kabla ya kifo chake huko Los Angeles mwaka 1997 baada ya ugomvi mkubwa wa East coast ilikuwa inaongozwa na akina Tupac Shakur na West coast ...Big alianza kuuza madawa ya kulevya akiwa na umri wa miaka 12 bila mama yake kujua maana baba yake alifariki wakati Big ana miaka 2.RIP Big.napenda muziki hasa wa hip-hop,,mc naemkubali ni notorious big,, rest in peace
[emoji1] [emoji1] kweli kabisa. Hata usielezeeLawama hizi..
Hahahaha sura yanguHongera ...na hiyo Avatar je ina maana gani?