Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

hii inaonesha Mbwa koko mwenye wasiwasi,inawakilisha Watanzania wanavoishi kwa hofu na uoga kwa sirikali ya JPM!
 
I believe in distributed leadership, and it's what expressed by my avatar
 
I believe in distributed leadership, and it's what expressed by my avatar
 
hii inaonesha Mbwa koko mwenye wasiwasi,inawakilisha Watanzania wanavoishi kwa hofu na uoga kwa sirikali ya JPM!
Hongera sana.....lakini wengi wako strong unless uko against na Rais Magufuli.
 
Mi nilitaka kujitofautisha na wengine. Nilichaguw rangi inaoonekana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…