BUGGATI VEYRON
Ni Gari ambalo kufikia mwaka 2012 lilikuwa bado Ni Gari liliongoza kuwa Gari lilokuwa likiuzwa kwa bei ya Juu sana. Liliuzwa kiasi cha 1.2 b fedha za kitanzania
Nikiwa kwenye maswala ya matembezi na kubadilishana mawazo na madesigner wa magari haya ,walioyaleta Paris France kufanyiwa test nilipata offer ya japo kuingia na kuendesha na kuona comfortability ya Gari hizi .
Kiukweli Ni moja ya Gari zenye nguvu sana na pia sikuwahi kuona Gari inayoperform vizuri barabarani kama ile.
Up today I respect the car that's nikaamua iwe kama ndio avatar Yangu!