Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

K
BUGGATI VEYRON
Ni Gari ambalo kufikia mwaka 2012 lilikuwa bado Ni Gari liliongoza kuwa Gari lilokuwa likiuzwa kwa bei ya Juu sana. Liliuzwa kiasi cha 1.2 b fedha za kitanzania

Nikiwa kwenye maswala ya matembezi na kubadilishana mawazo na madesigner wa magari haya ,walioyaleta Paris France kufanyiwa test nilipata offer ya japo kuingia na kuendesha na kuona comfortability ya Gari hizi .
Kiukweli Ni moja ya Gari zenye nguvu sana na pia sikuwahi kuona Gari inayoperform vizuri barabarani kama ile.
Up today I respect the car that's nikaamua iwe kama ndio avatar Yangu!
Hongera kwa hiyo nafasi........kwa barabara zetu hapa tz vip hiyo gari inaweza kumudu?
 
Avatar yangu nimempenda tu huyo msichana ni mzuri sana,basi nikaiweka nikiamini kila msichana ni mrembo.
Hongera.....what do you like na kusema huyu ni mrembo?
 
Safii sana ...ule wimbo wake wa 'REMEMBER ME' huwa unakumbusha mambo mengi sana
Sana ana nyimbo nyingi zinazogusa maisha tunayoishi kuna

No truth in the world
God bless the women
Don't cry
Crazy world
False phophet
Victims
Fredom fighter
Its not easy
war and corruption
Taxman
Different colors one people
.......... e.t.c
Kaimba uhalisia namkubali sana
 
I'm proud to be an African

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Back
Top Bottom