Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

73C09F06-3DCF-413B-8015-C2AA227E2A6D.jpeg
tupe historia ya huyu mtu basi mkuu
 
napenda muziki hasa wa hip-hop,,mc naemkubali ni notorious big,, rest in peace
 
mi yangu .nikiandika jina nakuta lino user ndo kakaja kaaidia ka uyu jamaa ni rapa wa juz juz tu nkaandika hilo jina la gucci gang ndo ikakubali ... sasa avatar ndo nkamweka rapa mwenyew
 
Vyuma havitembei. Kutu imezidi
pole sana....mbona dawa ya kutu inajulikana......Afande Nyati........Poti bwana na wewe vyuma vimekaza...... kuvaa unavaa bure,kula unakula bure,kusafiri unasafiri bure,kulala unalala bure....vyuma vimekaza wapi poti?
 
Back
Top Bottom