Mwana-JF usisahau kulog out kwenye akaunti yako ukishamaliza shughuli zako humu

Kupata visa kama hivi tembelea Chai.Com
 
Unamashaka na Mimi dume la mbegu lenye miguvu ya kiume?

Maajabu!
 
Huyu mzee namkubali sana lakini.
 
Waliotekwa na kupotezwa, walitekwa kivipi?
Sidhani kama unaweza kutekwa kisa upo jamiiforum,na sina ushahidi wa mtu kutekwa.

Ni nani alitekwa? Sijui.
Alitekwa na Nani? Sijui.

Haya maisha ni marahisi ikiwa utaishi Kwa kufuata Sheria za nchi

Kuwa na adabu, jiheshimu, heshima watu,kosoa kistaarabu,leta hoja na Mawazo ya msingi,siyo kubuni na kuzua mambo.

Hili jukwaa limenikutanisha na watu kibao tu, wanaume Kwa wanawake.tumekula pamoja na kunywa pamoja,tumejadili mipango ya kazi ,tunatembeleana ni kama ndugu.

Ishi kistaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…